TANGAZO 1

Kwenye
suala la mahusiano ya kimapenzi kuna mambo mengi ambayo yanaweza
kuimarisha penzi na kulipa mizizi imara ili kuweza kudumu zaidi kama
wapenzi watakuwa na nia moja. Leo tuangalie Mambo 10 Ambayo Mwanaume Hupenda Kusikia Toka Kwa Mpenzi Wake.
10. Kukosolewa – “I think you are wrong”
Wanaume
wanaweza kujikweza sana lakini daima hawachukii kurekebishwa.
Wanachojali zaidi ni jinsi gani au njia gani imetumika kuwarekebisha.
Mwanaume akikosea, anataka mpenzi wake amkosea lakini kwa mapenzi, sio
kwa mikwaruzano au dharau au mbele ya kadamnasi. Mrekebishe au mkemee
faragha, toa maoni yako na wala usimlazimishe, itamfanya aone unajali na
unataka kumjenga.
9. Kujali – “How was your day?”
Wanawake
wengi hutaka wao tu ndio waulizwe kuhusu jinsi siku zao zilivyoenda
kila siku, wanasahau kabisa hata wanaume nao walikua kwenye mihangaiko.
Mzoeshe kumuuliza mpenzi wako siku yake ilikuwaje? utaona hata nuru ya
mapenzi yenu itang’aa na mtakua marafiki, japo mwanzoni atakua hakuambii
kila kitu lakini baada ya muda atazoea. Kila mtu anataka wa
kumsikiliza, mtu atakayezungumza nae chochote kilichotokea ndani ya siku
yake, na pengine kukuuliza ushauri.
8. Ucha Mungu – “Can we pray?”
Mwanaume,
anayesali au kutosali, lazima huwa ana imani kwamba Mungu yupo.
Mwanamke mcha Mungu siku zote huwa ni wazo la kila mwanaume endapo ana
mpango wa kuoa. Mwanaume huwa na amani kwa kiasi fulani akiongozwa na
mwanamke wake kwa upande huo wa sala.
7. Msamaha – “I forgive you”
Vikombe
kwenye sahani havikosi kugongana, vivyo hivyo na kwa wapenzi, kuumizana
hisia hakuepukiki, iwe kwa makusudi au bahati mbaya, mwenzio akikosea
sasa isiwe ndo adhabu, akiomba msamaha ukamwambia nimekusamehe na kweli
umemsamehe, funika kurasa endeleeni na maisha. Usililete tena mezani
jambo ulilosema umesamehe.
6. Sifa – “That was great sex”
Kama
amefanya kazi nzuri, mwambie. Wote tunajua sio kila siku watu hufanya
kiwango che Maradona au Pele, siku akiwa kwenye kiwango hicho hata yeye
anajua, usisite kumpa sifa zake. Wazungu wanasema, ‘Yes, you can kiss
and tell some of the times’. Na kama unaona kuna sehemu anahitaji
kujisogeza, mwambie pia, tena kimahaba. Hii itawasaida nyote.
5. Upekee – “I admire you. No other man is like you”
Ni
kweli kwamba kuna wanaume ambao ni wazuri na wenye uwezo mkubwa zaidi
ya huyo ulienaye, lakini kwake hujisikia vyema zaidi ukimwona yeye ni
zaidi ya wote hao. Sio mbele ya macho yake tu, matendo yako na hata
nyuma yake msifie kwamba yeye ndio mwanaume pekee duniani unayempenda na
hakuna mwingine zaidi yake.
4. Uaminifu – “I trust you”
Mwanaume
akijua anaaminika sana kwa mwanamke, na yeye hujiachia. Na kwa hili
huwa anaweza kugombana na watu kabisa kwa ajili ya mwanamke wake. Japo
wengine hulitumia hili kwa uchafu wao lakini wengi wao ni kitu chema
kwao.
3. Mapenzi – “Make love to me”
Ni
mtazamo wa wengi kwamba mwanaume ndio siku zote awe mwanzilishi wa
tendo. Lakini mwanaume kwa wakati mwingine hupenda mwanamke wake ampe
vishawishi na yeye vya kumleta kwenye mood. Sio kila siku aanze yeye tu,
wakati tendo ni la kuwafurahisha wote. Hata kama ni ngumu kusema kwa
mwanamke, ishara kibao zipo za kumuonyesha mwenzi wako akaona ‘Leo baby
anataka na yeye’.
2. Malengo -“What’s your dream?”
Mwanaume
anaweza asionyeshe kama anahitaji msaada, lakini kwa kutumia njia za
mapenzi, unakuta ni mwanaume tu anayehitaji uwepo wa mwanamke
anayempenda yeye. Mungu alimtengeneza mwanaume na kumpatia msaidizi kwa
kumpatia mwanamke. Kuwa mwanamke mwenye msimamo na mpangilio mahiri
usiotikisika, ambaye unauwezo wa kumuuliza anaenda wapi katika maisha
yake, na akakukumbusha huko siko ni huku. Ndoto za mwanaume mara nyingi
huendana na zile na mwenzi wake, na mwanamke huwa pale kuhakikisha ndoto
za pamoja zinatimia.
1. Upendo wa dhati – “I love you”
Wanaume
wengi hujiona wagumu kwenye kutamka neno ‘I love you’ kwa wanawake zao
na hata akisema itakua ni mara chache chache hata kama kweli kutoka
moyoni wanapenda, lakini haina maana hawataki kuambiwa na watu
wanaowapenda, hii huwaaminishia nafasi yao kwenye moyo wa mwanamke.
TANGAZO 210. Kukosolewa – “I think you are wrong”
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment