TANGAZO 1
Mjumbe wa kamati kuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) 🇦mesimamishwa na wananchi wa Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya leo hii akiwa safarini kutoka
Nairobi Kenya alipokwenda kuhudhuria mazishi ya Marehemu Ole Ntimama.
Baada ya picha hizi 3 akiwa Namanga utaziona nyingine chini alivyozuiwa na wananchi wa Kenya ili asalimiane nao


Pia waziri mkuu huyo wa zamani wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wakazi wa Maai-Mahiu katika kaunti ya Nakuru.
Mh. Lowassa yuko nchini Kenya ambapo alikwenda kuudhuria mazishi ya mwanasiasa nguli wa nchi hiyo mzee William Ole Ntimama ambaye aliaga dunia siku ya Septemba mosi na kuzikwa jana kijijini kwao katika kaunti ya Narok.



KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment