Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Dully Sykes awataja wasanii watatu aliowasaidia na leo wanalipa fadhila

TANGAZO 1
Msanii mkongwe katika muziki wa Bongo Flava, Dully Skyes amesema katika wasanii wote ambao aliwahi kuwasaidia kimuziki mpaka wakafanikiwa, ni watatu tu ndio ambao wamekuwa wakilipa fadhila kwake na ambao wamekuwa wakimpigania.
dully_2_0
Dully Skyes alisema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo na kudai amewasaidia wasanii wengi lakini wengi wao wanaishia kumuita tu ‘brother’ lakini si Diamond Platnumz, Mr Blue na Queen Darlin.
“Watu ambao nimewasaidia wananipa heshima ni wawili tu, wengine wanaishia kuniita brother D tu, lakini Diamond Platnumz, Mr Blue pamoja na Queen Darlin ndiyo wananipa ile heshima kabisa na wana uchungu na mimi kwamba huyu kaka yetu. Kwahiyo katika wale watoto ambao nimewatoa kwenye muziki wakiwa wadogo na wananisaidia ni hao watatu,” alisema.
Hivi karibuni Diamond kupitia label ya WCB alimpa ofa Dully ya kughramia mradi mzima wa wimbo wake unaoendelea kufanya vizuri, Inde akiwa na Harmonize.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top