TANGAZO 1
Msanii wa muziki wa bongo fleva,Diamond Platnumz ameweka wazi biashara nyingine ambayo ana mpango wa kuwekeza.
katika moja ya mahojiano yake,Diamond amesema ana mpango wa kufungua mtandao wake unaoitwa Afro Box ambapo watu wanaweza kungalia video exclusive kabla hazijatoka kwa gharama chache.
“Kuna kitu kinaitwa Afro Box,kinahusisha maswala ya content za video,mbali na YouTube kutakuwa na platform nyingine kutoka Tanzania ambapo kabla video haijatoka watu wanapewa access ya kuiona kwa gharama chache,si unajua wengine wanapenda exclusive,pia tuko kwenye hatua za mwisho za kutengeneza headphones,maana nilishatangaza nitatoa headphone zangu” alifunguka Diamond.
Source: Mo Faze Online TvTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment