Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Chatu auawa kwenye shamba la Museveni

TANGAZO 1
Chatu mwenye urefu wa futi ishirini ameuawa kwenye shamba la Rais wa Uganda Yoweri Museveni eneo la Kisozi lililo wilaya ya Gomba.
Polisi walimuua kwa kumpiga risasi chatu huyo mara tatu, alipojaribu kungia shamba hilo ambapo rais Museveni anafunga ng'ombe wengi.
Polisi mmoja anasema kuwa walishikwa na uoga walipomuona chatu huyo, ndipo wakaamua kumpiga risasi ili kuokoa ng'ombea wa rais.
Watu watatu walikamatwa wiki iliyopita kufuatia madai ya kumuibia Raisi museveni ng'ombe.
Rais Museveni hufuga ng'ome wenye pembe ndefu ambao kitamaduni hufugwa na watu wa kabila lake la Banyankore.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top