TANGAZO 1
Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),kimelitaka jeshi la polisi
kuwaachia au kuwapeleka mahakamani watu 10 wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa
chama hicho.
Mwanasheria
wa Chadema, Tundu Lissu amewaambia wanahabari leo kuwa watu hao
walikamatwa katika mikoa mbalimbali ukiwamo wa Songwe kwa kosa la
kuandika na kusambaza maneno yasiyomfaa Rais John Magufuli.
Lissu
amesema watu wapo mahabusu za Polisi Kanda Maalumu na Osterbay takriban
wiki zaidi ya mbili jambo ambao ni kinyume cha sheria za nchi na kwamba
wanapewa mateso.
"Nimekwenda kuonana nao na wamenieleza madhara wanayoyapata kutoka kwa polisi,"amesema Lissu.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment