TANGAZO 1
Korti kuu ya Dar es salaam mchana wa leo inatoa uamuzi juu ya shauri la kupinga matokeo ya ubunge wa jimbo la Temeke Abbas mtemvu alifungua shauri hilo akipinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CUF Abdallah Mtolea.====
UPDATES:
CUF YASHINDA KESI YA UBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE...
Mahakama Kuu kanda ya Dar Es Salaam imemtangaza rasmi mhe. Abdallah Mtolea (CUF) kuwa mbunge halali wa jimbo la Temeke - Dsm, baada ya mlalamikaji, Abas Mtemvu (aliyekuwa mgombea wa CCM) kushindwa kuithibitishia mahakama kuwa ubunge wa Mtolea ulipatikana kwa njia zilizo kinyume na sheria na taratibu za uchaguzi.
Kwa niaba ya chama nimtakie Abdallah Mtolea kila la heri. Niwaombe wananchi wa Temeke wazidi kumuunga mkono. Asanteni mawakili Ntibanyendera na Hashim Bakari Mziraykwa kazi nzuri.
Mtatiro J
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment