TANGAZO 1
Staa
wa filamu Jacqueline Wolper ameibua maswali mengi kwa mashabiki wake wa
filamu katika mitandao ya kijamii baada ya kuandika ujumbe unao onyesha
huenda ametendwa katika mapenzi.
Muigizaji huyo ambaye mwisho wa mwaka jana (2015) alimtambulisha mpenzi
wake mpya kwa mashabiki wake baada ya kuvalishwa pete, Ijumaa hii
ameweka wazi yale yanayomsibu moyoni hali iliyowafanya mashabiki wake
watafsiri ametendwa.
Kupidia instagram, Wolper ameandika:
"Maisha yana mitihani migumu saana wakati mwingine unaweza kujiona
umempata kumbe umepatikana. Unaweza hata kukufuru Mungu lakini kuna kale
kausemi kanachosema tunajifunza kutokana namakosa me nimeanza
kuzingatia misemo baada yakukua mkubwa.
Unaweza ukahsi unaishi na mjusi kumbe unaishi na nyoka mwenye sumu kali
akikung’ata auponi ewwwe Mungu nipe nguvu eewe Mungu wangu nitoe upofu
eewe Mungu washa taa kwenye giza nene nililopo ili nipate muangaza"
Haya ni maoni ya mashabiki wake wa instagram
kate_brown538
Ushaachwa ivo ba pete kidolen hamna kiruuu, nenda kwa mond
zai2n1804
Asante Dada @wolperstylish kwa ujumbe wako mzuri japo wengi wamehisi
tofauti kutokana na maneno uloyasema hapo juu ila Mimi nimeelewa vizuri
sana thanks again coz nimejifunza kitu kutokana na ujumbe wako barikiwa
sana
chegya_boy_
Pole sana my mungu yupo yote mapito IPO siku mungu atakuonesha chaguo llako xo omba mungu
Share
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment