TANGAZO 1
Wapenzi 2 wa jinsia moja nchini
Afrika Kusini wanaaminika kuwa wa kwanza duniani kujifungua watoto
watatu kutoka kwa vinasaba vya DNA vya wanaume hao wawili ,kulingana na
jarida la Gay Times.
Mnamo mwezi Julai mama aliyebeba mimba ya watoto hao ambapo wawili ni mapacha alijifungua -kakitendo kisicho kuwa cha akawaida.Jarida hilo linasema kuwa kwamba wapenzi hao wa jinsia moja walikutana na mama aliyebeba mimba hiyo kupitia mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius ambaye ni jirani wao.
Christo na Theo Menelaou alikutana na mama aliyebeba mimba hiyo katika sherehe ya kuwaleta pamoja marafiki na ndugu za Oscar Pistorius baada ya kesi ya mwanariadha huyo .TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment