TANGAZO 1
Leo August 25 2016 Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Andrew
Wilson Massawe kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya
Taifa (NIDA).
Kabla ya uteuzi huo Bw. Andrew Wilson Massawe alikuwa Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta katika Benki Kuu Tanzania (BOT).
Andrew Wilson Massawe anachukua nafasi
iliyoachwa wazi na Dkt. Modestus Francis Kipilimba ambaye ameteuliwa
kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Uteuzi wa Bw. Andrew
Wilson Massawe unaanza mara moja.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment