TANGAZO 1
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.
Ni
tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti anajitamba mbele za wanaume eti
"mimi bwana mwanamke hawezi niuliza niko wapi" sasa ndugu yangu wewe
ndio ulimtongoza mwenyewe tena ulimsumbua hasa msichana wa watu leo hii
anakupigia simu anakuuliza uko wapi unaanza kupanic. Tusifanye vitu ili
kuwaridhisha washkaji huko
viringeni...tufanye
vitu kuwaridhisha wake zetu.... imefikia wakati mwanaume usipokaa bar
mpaka saa nane au saa saba usiku unaonekana bwege na ukiangalia ligi ya
ulaya sebleni kwako na mke wako unaonekana bwege pia...au usipokua na
demu wa nje eti wewe sio mjanja. huu ni upuuzu tubadilikeni jamani. ndio
sikatai usikae na washkaji lakini usipitilize sasa. Naona huruma sana
unakuta mtu kavaa lipete likuuubwa la ndoa amekaa bar kwenye kiti
anasinzia..jamani TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Friday, August 26, 2016
Post a Comment