TANGAZO 1
Kama huna heshima kwa mwenzi wako, daima hutaona utamu wa mapenzi.
Katika
kukamilisha makala haya, leo nakuchambulia baadhi ya hasara ambazo
unaweza kukumbana nazo ikiwa hutakuwa na maelewano mazuri na mwenzi
wako kutokana na kushindwa kumheshimu.
UTAKOSA AMANI
Misongo
(stresses) ya kimaisha inatesa. Inawezekana unafanya kazi sana.
Wakati mwingine masuala ya kiofisi au biashara hayaendi kama
inavyotakiwa. Unashinda siku nzima ukipigana kuhakikisha unaendelea
mbele. Iwe umeajiriwa, umejiajiri au umeajiri! Kichwa hakitulii mpaka
unahisi ni kizito.
Kufikia hapo, bila…
Kama huna heshima kwa mwenzi wako, daima hutaona utamu wa mapenzi. Hili nimelifafanua kwa takriban wiki tatu.
Katika
kukamilisha makala haya, leo nakuchambulia baadhi ya hasara ambazo
unaweza kukumbana nazo ikiwa hutakuwa na maelewano mazuri na mwenzi
wako kutokana na kushindwa kumheshimu.
UTAKOSA AMANI
Misongo
(stresses) ya kimaisha inatesa. Inawezekana unafanya kazi sana.
Wakati mwingine masuala ya kiofisi au biashara hayaendi kama
inavyotakiwa. Unashinda siku nzima ukipigana kuhakikisha unaendelea
mbele. Iwe umeajiriwa, umejiajiri au umeajiri! Kichwa hakitulii mpaka
unahisi ni kizito.
Kufikia
hapo, bila shaka unahitaji faraja. Ni kipindi ambacho unahitaji mwenzi
sahihi ili aweze kukusahaulisha matatizo ya kimaisha. Mtu ambaye
anakujua ulivyo, kwa hiyo inamuwia rahisi kutambua kwamba upo kwenye
matatizo na kuchukua hatua zinazofaa kurekebisha hali.
Fikiria
kwamba ukiwa katika hali hiyo, unarudi nyumbani ambako unakutana na
moto mwingine. Amani hakuna! Kichwa chako kinaweza kuchanganyikiwa.
Kama sivyo, maradhi ya moyo yatakunyemelea. Kupata kilicho bora,
kiandae. Palilia shamba na ulilime kama unataka kuvuna.
Ukifanikiwa
kumuweka mwenzi wako katika hali ya furaha, utapata faraja muda wote.
Yakikufika, ukirejea nyumbani utakuta amani. Utakutana na tiba ya
msongo wa mawazo ulionao. Hiyo ndiyo tafsiri ya upendo, kwa hiyo usije
kukosa utulivu wa moyo. Anza leo kumfurahisha ili naye akupe mahaba
tele!
UTACHOKWA HARAKA
Hakuna
kitu kibaya kwenye mapenzi kama mtu kuchokwa na mwenzi wake. Lakini
hilo siyo zito, ni rahisi mno kama hutoamua kushughulikia kasoro
ulizonazo.
Huna
ubunifu, mwenzi wako haoni kitu chochote kipya. Mwenzi wako hana
furaha wewe hujishughulishi. Ataanza kukuona ni mzigo na mwisho
atakuchoka. Usikubali hali hiyo ikutokee, anza leo! Maisha ya kimapenzi
ni mazuri sana endapo utaamua.
MTASHINDWA KUJADILIANA
Mwenzi
wako hana furaha, wewe unaingia mlango huu naye anapitia ule. Hayo ni
maisha mabaya mno! Mnapatwa na mambo ambayo mngependa kushauriana,
lakini mnashindwa kufanya hivyo kwa sababu mnaishi kama Simba na Yanga.
Kuna
watu wanaishi kwa kalamu, wanalala mzungu wa nne! Kama matumizi,
yanawekwa mezani, akitaka kutoa agizo anaandika ‘kimemo’ na kukiacha juu
ya stuli! Hawaguswi kutafuta furaha yao, hawataki kuzungumza na
kumaliza tofauti zao.
Matokeo yake ni siri za ndani kuzagaa mitaani. Hili likikufika ni sawa na msiba. Chukua hatua!
HUTAPATA HUDUMA BORA
Mwenzi
wako anahitaji kuwa na furaha ili aweze kukupa huduma bora. Amini
kwamba mwenzi wako ndiye anayeweza kukufanya hii dunia uione yote ni
yako. Changamka leo!
Unahitaji
huduma bora kutoka kwa mwenzi wako, na hilo anaweza kulitimiza endapo
atakuwa na furaha dhidi yako. Hii inamaanisha kuwa, kuanzia sasa,
punguza maudhi kwa mwenzi wako na umzidishie amani. Akupende na amini
ndani ya nafsi yake kwamba wewe ndiye mtu bora zaidi maishani mwake.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment