TANGAZO 1
Picha chafu z i l i z o v u j a zikimuonesha Video Queen wa Bongo,
Agness Gerald ‘Masogange’ akiwa kihasarahasara na mwanaume anayesemekana
ni msanii wa Bongo Fleva, Regnald Raymond ‘Reggy’ zimeibua hasira kwa
mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa Bongo Muvi, Rammy Galis na kutishia
kuvunja penzi lao.
Chanzo chetu makini kabisa kilisema kuwa ingawaje inadaiwa kuwa picha
hizo ni moja ya kurekodi nyimbo inayoitwa Kampa Kampa Tena ya
mwanamuziki huyo lakini baadhi ya picha zilizovuja ni chafu na haziko
kwenye video ya wimbo huo kitu ambacho kilizidi kuwapa maswali watu
mbalimbali ya kuwa kuna kitu kingine zaidi ya picha hizo.
“Sawa wao wenyewe wanasema kuwa ni vipande vya picha vilivyopo kwenye
video ya nyimbo hiyo lakini kwenye nyimbo hiyo ukiitazama vipande hivyo
havionekani kabisa,” kilidai chanzo hicho. Mpashaji wetu huyo aliendelea
kufunguka kuwa baada ya picha hizo kuvuja mpenzi wa sasa wa Masogange
inadaiwa alimpigia simu kijana huyo na kumpa kashikashi huku
akimtaka aache kusambaza picha hizo la sivyo wasije kulaumiana.
Gazeti hili lilipoinyaka habari hiyo lilimtafuta kwanza mwanamuziki
huyo ambapo alikana kuwa yeye si mwanzilishi wa kusambaza picha hizo kwa
sababu hakuwa na sababu ya kufanya hivyo.
Rammy Galis alipotafutwa kuzungumzia jinsi picha hizo zilivyomchefua
hakuweza kupatikana mara moja. Hata hivyo, Masogange alipotafutwa
kupitia simu yake ya mkononi alisema: “Unajua kila kukicha watu
wanapenda kuibua mambo, ile ni video na mpenzi wangu anaijua, kama kuna
kutofautiana na mpenzi wangu picha hizo wala siyo sababu.”
HABARI NA GAZETI LA IJUMAA
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment