Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KUMBE HII NDIYO SABABU KWANINI WASICHANA WENGI WANAPENDA KUFANYIA MAPENZI GIZANI,SOMA ZAIDI HAPA NIKUJUZE.

TANGAZO 1
Asilimia 27% ya wanawake huwa wanajisikia aibu sana kufanya mapenzi wakati kuna mwanga,uchunguzi uliofanywa na wataamu wa mapenzi umegundua mambo yafuatayo.
Zaidi ya robo ya wasichana wote duniani huona aibu sana,miili yao kutazamwa na watu wengine,uchunguzi umeelezea.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa masuala ya wanawake shirika linaloitwa "Weight Watchers,"asilimia 27% ya wanasichana wanajisikia aibu sana kufanya mapenzi huku mwanga ukiwa unawaka.
“Kwenye uchunguzi huo uliofanyawa na Weight Watchers,asilimia 27% ya wasichana wote walikubali kuwa waliweza kufanya mapenzi huku taa zikiwa zimezimwa kwa sababu ya kuona aibu kwao liliripoti gazeti la Daily Mail la jumanne Agosti 2.
Licha ya kufanya mapenzi gizani,asilimia 75 ya wasichana walioulizwa huko nchini uingereza walisema kwamba hawapendi miili yao wakati asilimia 66% walikuwa wanaona aibu ya muonekano wao,liliripoti gazeti hilo.
Asilimia 60% ya watahiniwa waisema kwamba walikwepa kujiangalia kwenye vioo wakati wanavuliwa nguo kwa sababu walikuwa wanaogopa mwanga.

Wale wanaopenda kufanya mapenzi gizani wanasema kuwa kufanya kwenye mwanga kunasababisha uturivu kuwa ziro kabisa aibu zina kuwa nyingi sana na kusababisha hata raha kupungua kabisa.
Lakini mmsomi mmoja wa chuo kikuu wa nchini New York aliyebobea katika maswala ya mapenzi anadai kwamba kama ukifanya mapenzi gizani,unamisi kitu kikubwa sana katika maswala ya hisia na neva za fahamu kwa sababu mtu unakuwa humuoni kwa hiyo hisia zinakuwa ndogo.
Kufanya mapenzi gizani kunaweza kukawa "hot" sana na mapenzi yanaweza yakawa motomoto kwa kila mtu kati ya mapenzi.Lakini kuona aibu wewe mwenyewe kunaweza kukawa unajidanganya binafsi na unajidanganya na mpenzi wako  kwa sababu ni mwili wako na mwili wa mpenzi wako hakuna kigeni hapo lilisema gazeti hilo.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top