TANGAZO 1
LABDA HII ITAWASAIDIA:Kinachowaponza Wanawake ni POOR DECISION MAKING IN CRITICAL ISSUES.
Unakuta mtu anajua kabisa ana Boyfriend Levi la Kutupwa,analala mtaroni kila siku,anafikishwa nyumbani hajitambui kafikaje,yeye yupo tu amekazana na Fanta yake..Unachumbiwa na kuolewa na hilihili levi,unasota nalo miaka 2 ya ndoa inakuwa kero...Ulimvumilia kwenye Uchumba coz hamkuwa mnalala pamoja,analewa na kutapika akiwa kwake na wewe uko kwenu..Sasa Mzigo ni wako,mko SAME BED..Anatapika hapo..Harudi home siku 4..Na hata akirudi yuko Njwii,hata 'kazi hawezi kupiga'
Unaenda kulalamika kwa Mchungaji kuhusu Tabia mbaya ya mmeo...YOU KNEW IT..Ukapuuzia na ukakubali kuolewa na JANGA...Mtabaki kusumbua Wachungaji na Wakwe kuwapatanisha wakati mlikuwa na Muda wa kujuana kabla hamjaamua kuishi pamoja
Kipindi cha Uchumba kitumie KUMFAHAMU VIZURI..Sio ukitumie KUMCHUNA,KULA BATA,OFA ZA KITIMOTO,TRIP ZA BAGAMOYO,KUMPIGA MIZINGA YA PERUVIAN HAIR..Ukasahau KEY ISSUES...Mmekaa miaka 6 ana watoto 2 na Wanawake wengine..Analewa na kulala mtaroni..Halafu analeta Posa unasema kuolewa ni Bahati.
Yakikushinda Usitusumbue...Sio kila POSA ni bahati,Posa nyingine ni kichaka tu cha kutua majanga yao...Your Decision TODAY will affect your TOMORROW...Think twice before you say YES to a ProblemTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment