TANGAZO 1
Wema Sepetu alizaliwa tarehe 28, September, ni mtoto wa mwisho kati ya mabinti wanne wa Mzee Sepetu.
Wema
hakufikiria kama atakuja kuwa mmoja kati ya ma-star wakubwa hapa nchini
hadi nchi za nje mpaka siku mmoja alipo kuwa kwenye matembezi yake
Slypway Masaki alikutana na dada Mange Kimambi na kushawishiwa ashiriki
mashindano ya Miss Tanzania 2006...
Wema Sepetu aliibuka kidedea na kuwagalagaza Jokate Kidoti Mwegelo na Lisa Jensen
Kabla
ya kuwa miss Tanzania alikuwa na mwandani wake japo hakuwa super star
lakini hawakudumu maana aliposhikilia taji alikuwa busy jambo
lililomfanya akose muda wa kumpa mwandani wake lakini muda mchache
akakutana na Marehemu Kanumba na kuanza uhusiano mara moja....
Uhusiano
baina ya Kanumba na Wema ulikwenda vizuri sana nakama mchezo nyota zao
zote zikang'aa sana Kanumba sasa akaonekana Kanumba kweli si yule wa
kwenye maigizo ya kikundi cha Kaole tena uhuu ni ukweli kabisa.. na
haswa waliposhirikiana katika movies zao walizidisha umaarufu mara dufu,
lakini kiukweli ni kwamba Kanumba ndiye aliye gundua kipaji cha Wema na
ndiyo aliye muibua katika sanaa ya kuigiza.
Wema sijui ni utundu au utoto au ulimbukeni wa mapenzi basi akamsaliti Marehemu Kanumba na kuwa na mvuta bangi Jumbe.
Pichani ni Wema na mpenzi wake Steven Kanumba enzi za uhai wake Kanumba (RIP)
Kwakweli
katika mapenzi yote nazani alipochemsha binti wa Sepetu ni pale
alipokuwa na Jumbe maana ilimpelekea hadi kuwekwa rumande. Natusinge
angalia Wema naye angekuwa mvutaji bangi na madawa ya kulevya
Wazazi wake haswa mama mtu alijitahidi sana kumuokoa Wema kwenye mikono mibaya ya Jumbe
Heka heka za Wema wa Sepetu hazikuishia hapo akajikuta mikononi mwa Chalz Baba kaka yangu na mie huyooo
Wazazi
wakaona basi tena maana mwanao kutwa magazetini wakampeleka
Ulayaaaa...sasa akiwa marekani kwa mmoja wa dadazake huko alikuwa
anachati na watu kwa kutumia mitandao ya kijamii hii chating ya kwanza
ya Wema na Diamond ilikuwa kwenye FACEBOOK siku hiyo mtoto wema alikuwa
anacomment kwenye wall ya Diamond kimahaba huku mtoto wa mbagala akijibu
mashambulizi asije poteza bahati
Mara
Wema anasema mtu kifudenge naona kachoka a reply sasa hivi ....ikitajwa
hivyo Diamond ana jibu akijijua yeye ndio mtukifudenge
Dah!
enzi hizo diamond alikuwa kituko jamani hajulikani kabisaaaa watu
mkisikia wimbo mkali wa mbagala mnatafuta aliyeimba nani mnakuta kituko
mnabakia lakini anaimba vizuri.
Wema
Sepetu alipotua tu inchini alifikia kupanga na kumkaribisha mpenzi wake
mpya Diamond na kuanza maisha ya pamoja ya raha na mstarehe.....
Kwakweli
watanzania wengi walipigwa na butwaa kila mmoja alilalama why Wema
akachukua kinyarika kama hicho na mengi mabaya juu yao.
Nausifu
sana ujasiri wa Wema kwani aliweka pamba masikioni na kutaka
kutudhihirishia kuwa Naseeb aliyempenda yeye ni Almasi ...Diamond ambayo
inang'aa duniani kote.
Hapa tunaona kabisa japo Diamond Platnum alishatoka na nyimbo zake kama mbili hivi kali moja wako ya Mbagala lakini
hakuwa juu kiasi hicho na bila Wema angebakia kama wasanii wengine
wanatesa na nyimbo kali ila nyota hazing'ai kivileee Ben Pol, Chid Benzi
Barnaba na wengineo.
Wema
hakuona haya kumpenda hadharani Diamond alimpiga mabusu hadharani watu
wakapaka sana domo na mengineyo mengi lakini alizidisha mapenzi mara
dufu. Ndipo tukaanza kumuona Diamond muonekano wa pili aling'aa sana
akawa na swaga za Wema, kiingereza kidogo kila mwanamke akatamani awe
kama Wema na Diamond wakawa hadithi tamu midomoni mwa watu navile mtoto
Wema anavyojua kudeka na kupenda watu wakachanganyikiwa na mapenzi yao
yalivyo noga.
Tutashangaa
sana kwanini awali watu hawakupenda na wengine walimcheka sana Wema
kuwa na Diamond lakini sasa jamii nzima inataka kusikia kwamba Wema
amerudiana na Diamond...umeona eheee?
Mtu
wa karibu na madam alininyetisha kwamba Wema alimpenda kwa dhati
Diamond japo alipigwa vita sana na jamii kuwa hafai na si wa hadhi yake
lakini hakuvunjika moyo alimpenda zaidi Diamond nakutufanya watanzania
wote na ulimwengu wote kumtambua Diamond na kipaji chake na hadi
tukamuona handsome wakati alikuwa hatazamaniki eti leo hii amekuwa super
star anajidai kumbwaga na kumsaliti tena na kutembea na mashoga wa Wema
kwakweli hii haijakaa sawa kabisa..hatuwezi kuwaacha walale na huyo
kinyago wake Penny asiye kuwa hata na aibu namshangaa bado analazwa
kwenye mashuka ya Wema na anakubali kwanini kama anampenda asimletee
mengine wakalala ndio tuwaache..Diamond ni wa Wema tu labda arudie ule
uchokoraa wake wa zamani wa mbagala ndio tutamucha sasa nao wamchukue
wamng'aishe tuone kama watamgombea tena alisema kwa huzuni mnyetishaji.
Wema Sepetu amezidi kupata umaarufu japo magazeti mengi yakiendelea
kumchafua usiku na mchana lakini ni binti ambaye aseme leo atakuwa
jangwani anayetaka kumuona aje basi hakika maelfu ya watu watakusanyika
hapo nyota yake kwakweli iko juu mno ndio mana kila atakaye mshika mkono
naye lazima awe juu na hii si kwa wanaume wake ni hata mashoga zake wa
kike mfano halisi ni Snura.
Pamoja na Wema kusemwa sana magazetini na kusalitiwa mara nyingi na
kusemwa vibaya na mashoga zake na yote hayo lakini bado yuko juu kwani
binti huyu ana kampuni yake ya production inayoitwa Endless fame na bado
anakipindi chake ambacho hivi karibuni kinategemewa kurushwa hewani
kitakachoitwa Reality Show na anajiweza imaisha na Mungu anazidi
kumbariki kwani anajitoa sana kwa watu na sadaka, anamiliki nyumba na
magari kwakweli Wema Sepetu you shine like diamond... your a star isiyo
fifia.
Ombi
kwa dada Wema ni kwamba achana na Diamond hakufai anataka kukumaliza tu
ili akae pembeni akucheke anatambua kabisa ulimwengu mzima wote unajua
ameng'ara kwa kupitia nyota ya Wema sasa anataka akuzime ili apate
kutawala yeye achana nayebwana fanya
ya maendeleo atakutafuta mwenyewe kwanza mnapo weka story kila siku
Wema na Diamond ndio unamsaidia auze kazi zake maana akitoa nyimbo kila
mmoja anataka ajue safari hii anamwimbia nini Wema yaani hauzi bila ya
jina lako kama umemshtukia akiwa anatoa album au wimbo ndio zinakuja
skendo za Wema na Diamond inamaana ndio muda huo huo anapo tafutia
skendo auze yeye kwa kukupitia mgongo wako.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3

Post a Comment