TANGAZO 1
Shirika la Afya Duniani, WHO, linasema inavyoelekea dawa ya kuua magugu ndyio chanzo cha vifo vya watu 18 vilivyotokea kusini-magharibi mwa Nigeria, bila ya sababu kujulikana.Katika siku chache zilizopita wakazi katika jimbo la Ondo wamekufa saa chache baada ya kuhisi macho hayaoni sawa sawa na kuumwa na vichwa baadaye wanazimia.
Msemaji wa WHO ameeleza kuwa ukaguzi uliofanywa hadi sasa kutafuta virusi au bacteria haukugundua kitu.
Amesema kwa sasa mawazo yao ni kuwa vifo hivyo vilisababishwa na dawa ya kuua magugu.
Via>>BBCTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment