TANGAZO 1
Imeelezwa kuwa utafiti uliofanya mwaka 2012 katika wilaya 50 nchini ulionyesha ya
kuwa asilimia 9.1 ya watu huugua ugonjwa huo bila wenyewe kujua, takwimu zinaonesha kuwa watoto wenye kisukari mwaka huu 2014 ni kati ya asilimia 15 mpaka 20 ya wagonjwa wote kisukari ambao wanatibiwa kwenye kliniki nchini.
Pia watu wengine wanakuwa na dalili lakini huwa hawachukui hatua za mapema ili kuweza kuuzia ugonjwa huo kuendelea.
Aidha dalili za ugonjwa wa kisukari ni rahisi kuzitambua nazo ni kusikia njaa kila wakati,kukojoa mara kwa mara,kupungua uzito, na mwili kukosa nguvu.
TANGAZO 2kuwa asilimia 9.1 ya watu huugua ugonjwa huo bila wenyewe kujua, takwimu zinaonesha kuwa watoto wenye kisukari mwaka huu 2014 ni kati ya asilimia 15 mpaka 20 ya wagonjwa wote kisukari ambao wanatibiwa kwenye kliniki nchini.
Pia watu wengine wanakuwa na dalili lakini huwa hawachukui hatua za mapema ili kuweza kuuzia ugonjwa huo kuendelea.
Aidha dalili za ugonjwa wa kisukari ni rahisi kuzitambua nazo ni kusikia njaa kila wakati,kukojoa mara kwa mara,kupungua uzito, na mwili kukosa nguvu.
Kama
wewe ni mnene kupita kiasi, hufanyi mazoezi kwa ukawaida au una watu wa
ukoo walio na kisukari, huenda tayari una kiwango cha juu cha sukari
kwenye damu. Ongezeko la sukari kwenye damu mbali na kuwa kisababishi
cha kisukari, hali hiyo inahusianishwa na hatari ya kupatwa na ugonjwa
wa akili uitwao 'DEMENTIA'.
Kula
sukari nyingi sio sababu ya ugonjwa wa kisukari. Lakini lazima tuseme
kwamba kula sukari nyingi si nzuri kwa afya yako kwani utaongeza uzito
wa kuweza kuathiri uwezo wa mwili wako kujikinga na maradhi tofauti.
Ugonjwa wa kisukari umeitwa kwa kufaa "ugonjwa unaoathiri kiini cha
nishati ya mwili". Mwili unaposhindwa kutumia glukosi, mifumo mbalimbali
ya mwili inaweza kuacha kufanya kazi au hata kusababisha kifo.
Ugonjwa wa Kisukari kitaalamu hujulikana kama 'DIABETES MELLITUS'. Jina 'Diabetes Mellitus'
linatokana na neno la Kigiriki linalomaanisha 'kunyonya' na neno la
Kilatini linalomaanisha 'tamu kama asali'. Maneno hayo yanafafanua
vizuri sana ugonjwa huo, kwani maji hupita mwilini mwa mtu aliye na
ugonjwa wa kisukari kana kwamba yananyonywa na mdomo na kupitia kwenye
njia ya mkojo kisha kutoka nje ya mwili.
Isitoshe mkojo huwa na ladha tamu kwa kuwa una sukari. Ndiyo sababu kabla ya kuvumbua njia bora za kupima ugonjwa huo, mbinu moja ya kutambua kama mtu ana ugonjwa wa kisukari ilikuwa kumwaga mkojo wa mgonjwa karibu na kichuguu cha sisimizi. Ikiwa sisimizi wangevutiwa na mkojo huo basi hilo lilimaanisha kwamba mkojo una sukari.

NI NANI ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KISUKARI?
Watu walio katika makundi yafuatayo wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kisukari:-
– Wenye uzito uliozidi,
– Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao,
– Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,
– Watu wasiojishughirisha au wasiofanya mazoezi,
– Wenye shinikizo la damu,
– Wenye msongo wa mawazo na
– Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.
Watu hawa wanashauriwa kupima sukari yao kila mwaka wakiwa na umri wa miaka 45 na kuendelea.
Kuna
hatari kubwa ya kuugua ugonjwa huo ikiwa mtu ana mafuta mengi katika
tumbo na kiuno chake kuliko katika mapaja yake. Mafuta katika kongosho
na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye
damu.
Wavutaji
wa sigara wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi kwani zoea hilo hudhuru
moyo na mfumo wa mzunguko wa damu na kubana mishipa ya damu. Kitabu
kimoja kinasema kwamba asilimia 95 ya watu wanaougua kisukari ambao
hulazimika kukatwa viungo ni wavutaji wa sigara.
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
~ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.
~ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.
~ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.
~ Kusikia njaa kila wakati na kula sana.
~ Wanawake kuwashwa ukeni.
~ Kutoona vizuri.
~ Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.
~ Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole.
~ Miguu kuoza na hata kupata gangrini.
~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.
~ Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.
~ Majipu mwilini.

KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment