TANGAZO 1
IKIWA
ni siku kadhaa baada ya mwanamuziki Koffi Olomide kufukuzwa nchini
Kenya kwa kumpiga mnenguaji wake, Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa
Rhumba, raia wa Jamhuri ya Kidemokasia ya Kongo, Defao Matumona ‘General
Defao’ leo amezuiliwa kwenye hoteli moja iliyopo mjini Mombasa nchini
Kenya baada kushindwa kulipa bili kiasi cha Ksh 20,000.
Defao ameshindwa kulipa pesa hiyo baada
ya kuongeza muda wa kuendelea kuishi kwenye hoteli hiyo ambayo alitakiwa
aondoke juzi Alhamisi japo aliomba kuongezewa muda wa siku mbili
kuanzia mpaka leo Jumamosi, Agosti 6 ambapo ameshindwa kulipa na
kujikuta akishikiliwa kwa tuhuma hizo.
Inasemekana promota wake ajuliakanaye
kwa jina la Rashid Osundwa ndiye aliyempeleka Kenya kufanya shoo nchini
humo na ndiye aliyeshimwachia msala huo.
Defao amesema Osundwa alimpeleka Mombasa kufanya shoo Jumamosi, Julai 30, kwa makubaliano ya kulipwa Ksh 90,000 kwa shoo hiyo.
“Nilitakiwa kuondoka kwenda Nairobi
Alhamisi [Agosti 4] l lakini Rashid alimwambia abaki ili afanye shoo
nyingine Jumatano,” Defao amesema leo.
Hakufanikiwa kufanya shoo siku ya
Jumatano alipojaribu kuwasiliana na viongozi walioandaa shoo hiyo
hawakupatikana wala hawakufika kabisa. Defao alitakiwa pia kulipwa
Ksh90,000 kwa ajili ya shoo ya Jumatano lakini hakulipwa.
Jitihada zilifnyika kumsaka Osundwa ili azungumzie sakata hilo lakini
simu yake ilikuwa imezimwa wakati viongozi wandamizi wa Osundwa
hawakutaka kuzungumzia suala hilo.Defao anadai amekosa kufanya shoo ya Nairobi iliyokuwa ifanyike jana Ijumaa.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment