TANGAZO 1
Inasemekana askari hawa walikuwa wanaelekea lindo benki ya CRDB MMBANDE.Waliofanya shambulizi wanadaiwa kuondoka na pikipiki wakielekea maeneo ya Mvuti.
========
UPDATE:
========
WALIOFARIKI ni
E5761 CPL YAHAYA
F4660 CPL HATIBU NA
G9544 PC TTITO.
Inasemekana ni katika tukio la UVAMIZI WA BANK CRDB MBANDE mnamo saa 19:30HRS.
Inasemekana SMG moja wameondoka nayo majambazi.
Tukio hili limetokea wakati askari wakibadilishana lindo. Mmoja aliyefariki alikuwa anaingia, mmoja alikuwa anatoka na mwingine alikuwa dereva.
Majambazi hayakuingia ndani ya bank.
Gari la Polisi (Leyland Ashok) limeharibiwa sana kwa risasi.
======
Mods, kama picha mnaona haifai nisaidieni:
=======
UPDATES
Wakuu kutoka katika ukurasa rasmi wa Instagram wa Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba athibitisha kupoteza maisha kwa Askari Polisi Wanne na Raia wawili.
Mmoja wa majeruhi ni mfanyabiashara wa upande wa pili wa tawi la benki yalikotokea mauaji.
Waziri awatembelea majeruhi na kusema wanaendelea vizuri.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment