TANGAZO 1
Kumekuwa
na story za chini chini kuwa huenda ikawa kunaukweli kuwa walichokiimba
Chege na Diamond Platnumz kwenye wimbo wao wa ‘Waache Waoane’
kimemtokea mmoja wao.Kutoka TMK, Chege, ameamua kufunguka kuhusu sakata hili ambapo ameiambia Story 3 ya Planet Bongo ndani ya EA Radio kuwa hakuna ukweli kwenye hicho, “Hamna ni cretivity tu hamna kitu ambacho kinaimbwa kikawa nichaukweli. Ukiamua kuweka ukweli ni wewe ukiamua kuweka uongo niwewe, Sema wewe utakavyo mjibu mtu sasa itaonekana ukweli au uongo” Amesema Chege.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment