Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ALIKIBA AANZA KUPAA KIMATAIFA ASHINDA TUZO MBILI HUKO USA

TANGAZO 1
staa Alikiba ambaye kwa sasa yupo chini ya Sonny Music ameshinda tuzo mbili katika tuzo za Holly Wood $ African People's Choice zinazofahamika kama THE NAFCA zilizofanyika Califonia USA, Alikiba alikuwa akiwania tuzo hizo katika vipengele viwili 'Favorite Artist of the year'na Favorite song of the year.
Mbali na Alikiba wasanii wengine waliokuwa wanawania tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz, Mr Flavour, Davido, na wasanii wengineKwa upande wa Alikiba amewashukuru mashabiki zake kwa kuweza kumpigia kura na kumfanya aweze kushinda tuzo hizo mbili. "Asanteni sana fans blood wote tuliopiga kura usiku na mchana tuendelee na kupiga kura @afrimma" AlikibaTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top