TANGAZO 1
Kiongozi
wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na katibu mkuu wa chama cha
wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wamekutana Katika Mkutano Maalum
wa Viongozi wa Kisiasa Ulimwenguni (International Leaders Forum) ambao
umefanyika jana ‘Kwa Saa za Marekani’ Jijini Philadelphia.Mkutano huo ulioandaliwa na asasi ya NDI ‘National Democratic Institute’, ni Sehemu ya matukio maalum kuelekea Mkutano Mkuu wa Chama Cha Democrats (Democratic National Convention), Mkutano ambao utamthibitisha Bibi Hillary Clinton Kuwa Mgombea Urais Kupitia Chama Hicho.
Zitto Kabwe Pamoja Na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim watakuwa Philadelphia mpaka Siku ya alhamis ambapo mkutano huo unategemewa kumuidhinisha Bi Hillary Clinton Kuwa Mgombea Urais wa Marekani kupitia Chama Hicho.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment