TANGAZO 1
Dada, nakupongeza sana kwa kuwa na blog nzuri, inatusaidia sana, mungu
akubariki, mimi nina shida, ninaishi na dada yangu ambae tumechangia
baba, ila mama zetu ni tofauti, baba yetu alikufa, ndugu wakamuomba dada
anichukuwe anisomeshe kozi yoyote ile,
Nikahamia kwa dada , sasa toka nimefika hapa, shemeji yangu ananifata
sana, ananitaka kimapenzi, kwa nguvu na kunitishia kuwa anaenisomesha ni
yeye na sio dada yangu, hivyo nimkubalie tufanye siri, Ananifata hadi
chuoni, ananinyima raha kabisa, mchana ananifata anitoe luch, yani ah!
ananisumbuwa sana na namshangaa amekuwa na wivu hata kwangu, hataki
nipigiwe simu na mwanaume, anapekuwa simu yangu, sana, nimejitahidi
kumkwepa lakini wapi
Dada yangu ana asili ya kiburi sana, ni mkali kias kwamba hata mama yake
anamuogopa, na yeye ndie ameolewa na mwenye uwezo kidogo, hivyo wote
wanamtegemea yeye, sasa naogopa kumwambia tabia za mumewe, maana najua
kabisa hatoniamini, na atanifukuza nitashindwa kusoma,,
Ninawaza niwaambie watu wazima wamwambie dada, lakini nina uhakika 100%
dada hatoniamini, maana hupenda kusemasema kuwa, akiskia mtu yuko na
mumewe, yeye hatadili na mumewe atadili na yule anaemchukulia mumewe,
sasa mimi nahofia kukosa masomo yangu, maan shemeji mwenyewe anamjua
mkewe alivyo, na kuna siku aliniambia unafikiri ukimwambia dada yako
ndio atanifanya nini? Acha ujinga wewe, hutamani maisha ya dada yako,
wewe nipe uone ntakavyokupa maisha mazuri,
nakosa raha kabisa, nisaidieni kwa ushauri wadau
nifanye nini mimi??? Dada usiirushe email yangu please!!!
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment