TANGAZO 1
Rais John Magufuli anatarajia kufanya ziara wilayani Kahama mkoani
Shinyanga ambako atafanya mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi kwa
kumpigia kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu uliopita.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkulu alisema jana kwamba Rais
Magufuli atawasili hapa Jumamosi jioni kabla ya kufanya mkutano wa
hadhara Jumapili.
Nkulu aliwataka wananchi wa Kahama na maeneo jirani kujitokeza kwa wingi
kumlaki kiongozi huyo katika ziara hiyo ambayo alisema: “Lengo lake ni
kuwapongeza wananchi wa Kahama kwa kumpa kura nyingi katika Uchaguzi
Mkuu uliomalizika mwaka jana.”
Alisema ziara hiyo ni muhimu kwa kuwa ni ya kwanza mkoani Shinyanga akianzia na Kahama.
“Tujipongeze wananchi kutokana na kupata bahati ya wilaya chache
zilizotembelewa na kiongozi huyu, Kahama imekuwa mojawapo,” alisema
Nkulu.
Alisema kwa kuwa Jumamosi ni siku ya usafi kitaifa, kila mmoja wilayani
humo ahakikishe anaweka mazingira katika hali ya usafi na kuwaonya
wafanyabiashara kuwa atakayeshindwa kufanya hivyo hataruhusiwa kufungua
biashara.
“Nitafanya ukaguzi Jumamosi kuhakikisha kila mtu anashiriki usafi. Hilo
ni agizo la kitaifa kwa sasa lazima kila mmoja awajibike, nimewaagiza
watendaji wote wa kata kusimamia hilo,” alisema Nkulu.
Alisema wananchi watatangaziwa ratiba yote ya Rais Magufuli kwenye gari
la matangazo ambalo litazunguka mji mzima wa Kahama kuwaeleza muda na
eneo ambalo kiongozi huyo atafanyia mkutano.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment