TANGAZO 1
Hatua ya
kukamatwa na kufunguliwa mashtaka wakili mwandamizi na ofisa wa kituo
cha sheria na haki za binadamu Arusha, Shilinde Ngalula kumechukua sura
mpya baada ya mawakili Chama
cha wanasheria Tanganyika ‘TLS’ Arusha kulaani na kutembea kuelekea
makao makuu ya jeshi la polisi Arusha kwa kile wanachokiita ukiukwaji wa
sheria na haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi dhidi ya
wakili mwenzao Shilinde Ngalula na makundi mengine.
Shilinde
anadaiwa alikamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kwenda
kuwasikiliza na kuwatetea watu waliokamatwa na polisi Arusha na
akaunganishwa kwenye tuhuma zilizokuwa zikiwakabili watu hao. Rais wa
chama cha mawakili kanda ya kaskazini, Modestus Akida amesema……..
>>’matukio
kama hayo Arusha yameshatokea mara kadhaa, yale mahusiano kati ya
polisi na wakili naona yanaporomoka kwa hiyo tunaenda kwa RPC tumueleze
hayo, kosa ambalo asubuhi halikuwepo mchana linakuwepo sasa anaambiwa ni
kosa la uhaini lakini usiku aliandika maelezo kwa kosa la kutoa taarifa
za uongo kana kwamba yeye alikuwa amezuiliwa na polisi‘
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment