Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Peter wa Psquare aomba radhi washabiki

TANGAZO 1
Mwanamuziki wa Nigeria anayeunda kundi la Psquare Peter Okoye ameomba msamaha kwa washabiki kufuatia ugomvi na kaka yake.
Kupitia video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii amesema timu nzima ya Psquare kwa sasa imerudi tena pamoja.
Akiwa amevalia kofia ndani ya gari, video hiyo inamuonesha Okoye ni mwenye kujuta, akisema kuwa anabeba jukumu kwa yote yaliyotokea.
Peter alikuwa na uhasama na pacha wake Paul, ambaye ndiye amekuwa akiimba naye kwa zaidi ya muongo mmoja, hali iliyofanya kugawa kundi hilo.
Kulikuwa na dalili kwamba utengano wao huo unahatarisha mafanikio ya mapacha hao.
Peter na Paul ambao wanapiga muziki wa hiphop wametoa nyimbo nyingi zilizovuma ndani ya Nigeria na nchi nyingine za Afrika.TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top