MENU
HOME
SUKARI GURU
Featured
Featured Posts
Social Icons
Loading...
Home
»
Unlabelled
»
Oya mwana… kaza buti safari ni ndefu!
Oya mwana… kaza buti safari ni ndefu!
TANGAZO 1
Inakuwaje masela wangu wa kitaa hicho? Kipande hii ni gudi au guda kabisa wanakwetu. Ebana tangu nimebonyea lasti wiki naona kama nimewamisi kinomanoma watu wa Saa Godi. Au ninyi hamjanimisi nini na nini, mbona naona dizaini kama mnanifungia tu vioo makachala wangu wa ukwehe? Pamoko na laifu kuwa tafu kitaani bati sisi hakuna kusanda wanangu. Kinachomata ni kukaza kitu cha buti dheni tusonge fowadi kozi bado safari ni ndefu ileile mazee. Basi bana mwanangu Tii mwenyewe yupo kwenye taimu ngumu kimtindo kozi amefanya mautafiti na kunyaka kuwa kifaa chake cha maana yaani sumu kabisa anazingua aisee arifu. Hebu imajini mtu anampiga usopusopu wa hatare dheni anagundua kuna wana f’lani hivi wa kitaa wanamlia vyake! Mbaya zaidi akimtaiti shori anachomoa wakati msela ana maushahidi yote. Huko si ni kutafutana ubaya machalii wangu? Chama langu anakuteli kuwa anamzimika manzi wake kiasi kwamba hazipiti dakika bee bila kumuwaza na kurimemba mavituzi yake kozi shori naye kwenye yale mambo ya gizani ni faya. Kachaa anakuambia kuwa mbebiz wake mkare huwa hana longolongo anapokuwa kwa fasi ya graundi pale maeneo ya kumi na nane. Baada ya kuhaso naye na kuona kifaa chake hakisomeki na ni sikio la kudedi dheni amefanya kila dizaini ili ammwage bati amefeli so yupo njia panda kozi hajui afanyeje? Jamaa yangu kila akijaribu kujitoa kitu cha fahamu ili kujifogetisha, anasafa ile mbaya ndani kwa ndani. Mazee hapana chezea maumivu ya kitu cha moyo kozi wenyewe wanakwambia moyo mashine! Kwa maushauri ya kitu cha Mpeke ni kwamba awe bize na jobu, chachi kwa sana na matizi dheni atafute masela wenye positivu maindi ajichanganye nao kitaa tofauti kabisa kuliko kuendelea kusebenza kitaa kilekile kitakachomfanya akumbuke machungu ya shori. Mambo ya kujiulizauliza kwa nini mkaksi wake anamzingua atupe kule. Pia ni beta kucheki na kitu cha afya kama kipo poa dheni ajue dizaini ya kujitunza. Wanangu pigeni mbishe zote bati afya ikizingua ni mwisho wa mbwembwe zote. Cha kufanya unapomingo na situwesheni kama hiyo ni kubonyea tu kisha kukaza buti kozi safari ni ndefu na watoto wapo kibwena wewe meki bingo tu uone, watakuja wenyewe wala hutatumia nguvu kubwa.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Rss
Twitter
FaceBook
Google +
on Saturday, July 23, 2016
Post a Comment
CodeNirvana
«
Newer Posts
Older Posts
»
Popular Posts
HIZI NDIZO TOP 4 YA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ZITAKAZOKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA,SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE.
Kuna aina mbalimali za stairi kufanya mapenzi huko mtaani,lakini sio zote ni nzuri kwa ajili yako na kwa ajili ya kumridhisha mpenzi wak...
HIVI UNAJUA KWANINI WANAWAKE WANENE NI WATAMU SANA KITANDANI: BASI FAHAMU SABABU 9 HAPA NA MAMBO WANAYOFANYA HADI UNAWAONA WATAMU KITANDANI....INGIA HAPA
>>>PHOTO 1 <<< >>>PHOTO 2<<< >>>PHOTO 3<<< >>>PHOTO 4<...
BINTI ALAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA-HATA KAMA ELA INATAFUTWA KINGUVU HIVI IFIKE WAKATI UTU WA BINADAMU UONEKANE. .SHUHUDIA HAPA
Yani hii story imenisikitisha hadi nimetoa mchozi jamani, Wafaransa wana roho ngumu jaman kweli mtu unaweza mfanya hivi binadamu mwenzio, ...
JIFUNZE ...................NAMNA YA KUNYONYA MAZIWA MPAKA DEMU AKOJOE
KUNYONYA MAZIWA.mara nyingi maziwa ni sehemu ambayo huwa na hisia sana kwa mwanamke endapo itanyonywa vizuri,wengi hawajui namna ya kunyon...
JE UKUBWA WA UUME NI JAMBO LA MUHIMU? SOMA HAPA
Je, ukubwa wa uume ni jambo la muhimu? Ni nini ukubwa wa uume mkubwa na Je wanaume wengi wana uume mkubwa? Haya ni baadhi ya ma...
Mpenzi Wangu Ananinyonya Nyuma..Sipendi Nashindwa Nimzuie Vipi??Angalieni anavyonifanyiaga..Ushauri Please
Mimi nimeolewa miaka 8 iliyopita nna watoto watu na mume wangu nnampenda na yeye ananipenda niliolewa nikiwa na miaka 19 ni hadith nde...
© Copyright
SUKARI GURU
Post a Comment