Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Nay wa Mitego akubali yaishe ‘naomba radhi kwa yeyote niliyemkwaza na wimbo wa Pale Kati’

TANGAZO 1
Rapper huyo alipewa adhabu hiyo pamoja na kulipa faini ya shilingi milioni 1 baada ya kukutwa na makosa matatu likiwena la kutojisajiri katika baraza hilo.
Katika taarifa aliyotoa Nay wa Mitego, ameonyesha kujuta huku akiwaomba radhi mashabiki wa muziki wake kama ambavyo aliagizwa na BASATA.
“Wakati naandika wimbo “Pale Kati” nilikua nimeangalia nyimbo zilizowahi kutoka nyuma na zilizoko sokoni sasa, sikuona kama mistari yake ina matatizo. Lakini baada ya kukaa pamoja na kusikiliza mstari kwa mstari tumegundua kwamba kuna baadhi ya mistari ilikua ina maneno makali. Hivyo basi naomba radhi kwa mtu yeyote alieumizwa au kukwaza na mistari hiyo. Tusikilizie kifuatacho.!! “Pale kati” jamani,” aliandika Nay wa Mitego kupitia instagram yake.
Pia rapper huyo ametakiwa kujisajiri katika baraza hilo pamoja na kuachana na kuimba vyimbo ambazo zinawazalilisha akina dadaTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top