TANGAZO 1
Swali
ni kwamba kwanini uliamua kuwa na mtu huyo? Kwanini hamkusubiri mpaka
kila mmoja wenu awe tayari? Watafiti hao wanasema majibu ni rahisi sana,
watu wengi huamua kwa matarajio badala ya kuangalia kile kilichopo kwa
muda huo wakiamini mtu huyo atabadilika na mambo yatakwenda vizuri,
inawezekana au isiwezekane!
Hakuna
dalili ya uchumba yoyote ambayo imekusudiwa kusababisha ndoa isiyo na
furaha ila wanandoa wenyewe wana jukumu la kufanya hivyo. Kabla ya
kuvunja uchumba huo, lazima muongelee vitu vya msingi vinavyosababisha
uchumba huo kuvunjika au kuongea na washauri wenu kama mnao kama hamna
washauri mnaenda kichwa kichwa. Lengo la makala hii ni kutusaidia kuwa
na uelewa wa mambo fulani ya msingi ambayo tunaendelea kufanya makosa
kila siku;
Kunyanyaswa na kufanyiwa ukatili
Kama
mwenzi wako aliwahi kukunyanyasa au kukufanyia ukatili, uwe wa matendo,
maneno au kihisia inawezekana ikawa moja ya sababu ya kuachana naye.
Hata kama hajawahi kukusababishia majeraha, lakini anaonekana kukutawala
au kuna matendo ya kutumia nguvu hiyo inaweza kukupelekea kuwa na
ugomvi ndani ya nyumba hivyo lazima uchukue tahadhari mapema. Namna ya
kushughulikia madhara ya ugomvi wa ndani ni magumu kuliko kuepukana nayo
kabla ya kuingia huko, kama amewasha taa nyekundu sasa kwanini
ung’ang’anie kuingia?
Kutofanana kimalengo na aina ya tabia
Ingawa
inasemekana kuwa hasi na chana mara zote hukutana na kwenda pamoja bali
kuna vitu vya msingi huwa vinarudisha nyuma wapenzi wengi, kutokana na
utafiti. Vitu hivyo ni kama hawana imani moja lazima wapate shida kwenye
ndoa yao kwa kuwa wanaamini vitu tofauti ambavyo vitaathiri maisha yao
ya kila siku na hata watoto watashindwa kujua waelekee wapi, hivyo
familia inakuwa haijatengamaa. Kuna vitu vidogo vidogo kama kutofautiana
mambo ya siasa, hivyo vinaweza kuyafanya mahusiano yetu kuwa yenye
mvuto zaidi. Kuna tabia ambazo kama unazichukia sasa na hujaweza
kuziweka wazi usitegemee zitaondoka ukifika ndani.
Kuwa na malengo tofauti
Kama
mna malengo tofauti vile vile yataathiri maisha ya ndoa. Kama kuna vitu
ambavyo havina afya katika mahusiano kama uzembe na uvivu hiyo ni
dalili umechagua vibaya. Unatakiwa kuwa na mtu sahihi anayeendana na
malengo yako ya maisha , mkitofautiana tu ndani ya nyumba kutakuwa na
tofauti nyingi na za kutosha na mwisho wake talaka haitaepukika.
Kukosekana upendo
Ingawa
inawezekana unafurahia muda unaotumia na mwenzi wako mtarajiwa na
kuonekana kumjali sana haimaanishi unampenda kama mwenzi wa kuishi naye.
Kama unaona wewe au mwenzi wako kuna udanganyifu, au kukosa uaminifu
kwa wazi kabisa inawezekana ni ishara ya kuvunja mahusiano hayo.
Kutokuwa tayari kwa ajiri ya ndoa
Ndoa ni tendo la makubaliano kati ya wawili na kuwa tayari kuwa na mtu kwa ajili hiyo. Kutokuwa na uhakika kwa kile unachohitaji kwenye maisha yako kama fedha, hisia au kuridhika vitu ambavyo vinakuondolea ujasiri wa kuendelea kwa ajili ya ndoa inakubidi tu muachanane ingawa itakuumiza bali itawasaidia wote wawili baadayeTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment