TANGAZO 1
July 28
2016 Chama cha mapinduzi (CCM) kikiongozwa na msemaji wake Christopher
Ole Sendeka kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na
kuzungumzia hatua iliyotangazwa na chama cha demokrasia na maendeleo
CHADEMA kufanya maandamano ya nchi nzima.
Ole Sendeka amesema…>>>’Jana
tarehe 27/7/2016 chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), walitoa
kauli iliyojaa uongo mwingi za kibabaishaji na kuthibitisha ukweli kuwa
kwa hakika kutokana na kasi ya serikali ya awamu ya tano chini ya Rais
John Magufuli na kufanya wapinzani kukosa ajenda‘
‘Katika
uongo na uzushi walioutangaza, CHADEMA wanasema wameamua kufanya
mikutano na maandamano nchi nzima, kimsingi hoja walizozitumia zimejaa
upotoshaji na uongo uliokithiri. Ifahamike kuwa serikali haijazuia
mikutano kwenye majimbo yao’- Ole Sendeka
‘Wabunge
wako huru kufanya shughuli zao na tumeona baadhi ya wabunge wakifanya
shughuli zao majimboni bila shida wakiwemo hao wa upinzani‘ –Ole Sendeka
‘Ni vizuri tukakumbuka matukio kwenye operesheni kama hizi yaliyopoteza maisha ya vijana wetu na matokeo ya kila operation‘ –Ole Sendeka
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment