TANGAZO 1
''Umekutana
na huyo msichana mzuri kama ua, mcheshi, mrembo na ametulia kwa kila
jambo na kwa vyovyote vile nafsi inakusunta inataka umsogelee, moyo
haushi kudunda hujui hata pa kuanzia...!"
Tulikutana
na wakufunzi wetu katika sekta ya mapenzi na kujadili njia zinazofanya
kazi na ambazo hazifanyi kazi katika kumfanya msichana apendezwe nawe
kwa mara ya kwanza, hizi hapa ni njia za kumfanya msichana apendezwe
nawe kwa siku ya kwanza...
1. Punguza spidi ukiwa unatembea...
Ukiwa
unaenda uelekeo wake au ukiwa pembeni yake tayari umeshamsogelea,
hakikisha tembe yako iwe taratibu ili uonekane umetulia na
unayejiongoza, hii itamfanya akuone unajiamini na kujiamini ni moja ya
vitu msichana wanavyovutika navyo, fanya haya huku ukimwangalia machoni
bila kukwepesha huku ukitabasamu, hapo ni rahisi kumfanya awe makini na
wewe, ila hakikisha umesimama wima na mabega yako yawe katika hali ya
usawa.
2. Ongea kwa hali nzuri ukiwa umejipanga...
Kama
unaweza kuongea lugha nyingine ongea, au kama unafani yeyote ni muda
mzuri umwonyeshe, fani au kipaji huwa vina mvuto mkubwa kwa msichana na
kukufanya uonekane wa aina flani ya kupendeza, unatakiwa uingize mambo
haya kwa ujuzi kwenye maongezi ili mradi ugusie vitu hivi ili usije
onekana wa ajabu au unajikuza, kwenye maongezi kuwa na subira na ingiza
mambo hayo katika muda unaohisi unafaa.
3. Ongea kwa sauti na kwa kujiamini...
Sio
uongee kwa nguvu, inatakiwa unaongea kwa sauti ambayo inasikika, na iwe
sauti yako asilia na isiwe inatetemeka, sauti iwe ni ya kujiamini na
isiwe ya kuwa makini sana, iwe nyepesi yenye utulivu isio ya kuhoji,
hakikisha umevuta pumzi mara kadhaa ili kujinga kujiamini kwenye sauti
yako
4. Hakikisha akili yako yote ipo kwake...
Ukiwa
nae hakikisha ajione kama yupo mwenyewe pekee kwenye dunia yako, hata
kama kuna sahani zimepasuka au msichana mzuri zaidi yake anapita karibu
yenu, hakikisha macho yake yote yawe kwake, msikilize anacho ongea na
onyesha hamasa kwa anayoyaongea, kumwangalia machoni utamfanya akuzoee
haraka.
5. Mchezee kwa maneno...
Hisia
zako, unaweza sema uende nae taratibu ili upate kumjua, ila huu ndo
wakati wako hivyo usipoutumia vilivyo, huyu ndege anaweza kupaa!,
hakikisha unaanzisha ubishi na tumia maneno ya uchangamfu, unaweza
anzisha ubishi hata kwa wasanii wa nyimbo anazopenda kuzisikiliza, hii
itakufanya akuzoee mapema zaidi na anaweza kujikuta mkajisahau kabisa
kama ndo mmekutana na kwa kutumia ubishi utamfanya afurahie na kucheka
pamoja na kujisikia vizuri na kuhisi yupo katika mazingira aliyoyazoea,
na kujikuta akipendezwa sana nawe.
6. Mchukua na mpeleke kwenye mgahawa mzuri wa karibu...
Kama
unataka mapigo yake ya moyo yaongezeke na usiishe kwa kumshangaza,
mtoko wa karibu kwenye chakula au nyama choma na kapire ni jambo zuri
unaloweza kufanya, kama anapendelea pili pili, ni vizuri mkaitumia, pili
pili huongeza hamu ya kula na muwasho wa kusababisha maongezi yanoge
zaidi hivyo kusababisha furaha na vicheko kutokukatika, ikiwezekana
agiza chakula mnacho weza kula kwa pamoja.
7. Jidhalilishe kwa stori za vichekesho...
Wanawake
wanapenda kucheka na stori za hapa na pale, mwadisie kipindi ambacho
ulikutwa na majanga ambayo yana vichekesho ndani yake, stori kama ulikua
pembeni ya bara bara, gari likapita kwa kasi na kukanyaga maji machafu
na kukuta umelowa mwili mzima, mwonyeshe kwake huogopi kitu, na ukiwa
naye unaridhika na unaweza ongea kitu chochote.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment