TANGAZO 1
Dar es Salaam: Uhusiano
wa sasa wa msanii wa filamu na muziki Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
na mwanaume wake umetibuliwa na Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der
Pluijm baada ya hivi karibuni kukutana naye maeneo ya Coco Beach jijini
Dar kisha kupiga picha ya ‘ziro distance’.
Kutibuka penzi la Kabula na ‘mtu wake’
kumekuja kufuatia watu waliowaona msanii huyo na Pluijm wakipiga picha
hizo kumfikishia ubuyu mpenzi wa Kabula (jina halikufahamika mara moja)
aliyeonesha kumaindi na kumuanzishia kasheshe Kabula.
Licha ya wambeya kumtonya baby wa Kabula
juu ya picha hizo, wapo waliozitupia mtandaoni wakionesha kuwa
mwanadada huyo kajiweka kwa kocha huyo, jambo ambalo halina ukweli.
Akizungumza na Ijumaa mara
baada ya picha hizo kutupiwa mtandaoni kisha kila mmoja kusema lake,
Kabula alisema kuwa anawashangaa Wabongo kwa kuzusha mambo kwani hakuna
lililoendelea wala lililo nyuma ya pazia zaidi ya kupiga picha tu.
“Yaani watu wamefanya hadi penzi langu
limeyumba, baby wangu kamaindi na kuhisi labda nimejiweka kwa kocha wa
timu yangu ya Yanga kutokana na meneno ya watu walioweka picha hizo
mtandaoni na kuandika wanayojua.
“Niseme tu kwamba mimi ni shabiki damu
wa Yanga, nimepiga hizo picha kutokana na ushabiki wangu lakini hakuna
chochote,” alisema Kabula aliyewahi kuripotiwa kuwa kwenye uhusiano na
mchezaji mmoja wa kigeni wa Timu ya Yanga.
Kabula na Pluijm walikutana kwenye
Ufukwe wa Coco ambapo msanii huyo alikuwa ameongozana na wasanii
wenzake, Baby Madaha, Isabela Mpanda na Mama Loraa kwenda kufanya
shooting ya wimbo wao wa Marioo huku kocha huyo akiwa eneo hilo na timu
yake kwa ajili ya mazoezi.
Chanzo:GPLTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment