TANGAZO 1
Mmoja wa Majaji mjini Lubumbashi nchini Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo, ambaye alikuwa miongoni mwa Majaji watatu
waliotoa hukumu ya kumfunga jela miaka mitatu Gavana wa zamani wa jimbo
la Katanga Moise Katumbi Chapwe, amesema alishinikizwa kutoa hukumu
hiyo.
Jaji huyo kiongozi Chantale
Ramazani Wazuri ambaye ripoti zinasema tayari ameondoka nchini humo,
amewaandika barua wawakilishi wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na
Umoja wa Afrika nchini humo kulalamikia shinikizo alizopata kutoka kwa
wenzake.
Mbali na hukumu hiyo dhidi ya mwanasiasa huyo wa upinzani aliyekuwa nje ya nchi wakati ilipotolewa, Jaji huyo ameongeza kuwa hukumu hiyo inamtaka Katumbi kukamatwa ikiwa atarejea nchini humo.
Katika barua hiyo, Jaji huyo amesema hukumu hiyo ilikuwa ya kisiasa yenye lengo la kuhakikisha kuwa hawanii urais nchini humo mwaka huu.
Katumbi amekuwa akisema kuwa kesi dhidi yake ni ya kisiasa baada ya kutangaza kuwa atawania urais nchini humo.
Mwansiasa huyo wa upinzani ametangaza kuwa atarejea nyumbani kuendeleza siasa zake lakini serikali imesema kuwa itamkamata na kumshtaki kwa kosa la kuhatarisha usalama wa taifa.
TANGAZO 2Mbali na hukumu hiyo dhidi ya mwanasiasa huyo wa upinzani aliyekuwa nje ya nchi wakati ilipotolewa, Jaji huyo ameongeza kuwa hukumu hiyo inamtaka Katumbi kukamatwa ikiwa atarejea nchini humo.
Katika barua hiyo, Jaji huyo amesema hukumu hiyo ilikuwa ya kisiasa yenye lengo la kuhakikisha kuwa hawanii urais nchini humo mwaka huu.
Katumbi amekuwa akisema kuwa kesi dhidi yake ni ya kisiasa baada ya kutangaza kuwa atawania urais nchini humo.
Mwansiasa huyo wa upinzani ametangaza kuwa atarejea nyumbani kuendeleza siasa zake lakini serikali imesema kuwa itamkamata na kumshtaki kwa kosa la kuhatarisha usalama wa taifa.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment