TANGAZO 1
Watu wengi
hutamani kupata mtoto wa jinsia wanayoipenda. Nini nifanye ili nipate
mtoto wa kike au kiume? Je kuna dawa au vyakula vya kusaidia kupata
mtoto ninayemtaka? Siku gani nikikutana na mwenzangu naweza pata mtoto
wa kiume au kike? Na maswali mengine mengi huonesha shauku kubwa ya
kupata mtoto wa jinsia uipendayo.
Jinsia ya Mtoto
Mtoto
hutengenezwa pale mbegu ya kiume inapokutana na yai la kike. Mbegu za
kiume hubeba vinasaba vya X na Y, wakati yai la mwanamke likiwa na
vinasaba vya X peke. Ikikutana mbegu ya kiume yenye kinasaba cha X na
yai la kike (yenyewe yana vinasaba vya X peke yake) mtoto wa kike
hutungwa. Mbegu ya kiume yenye kinasaba cha Y Ikikutana na yai la kike,
mtoto wa kiume hutungwa.
Mbegu ya kiume Y + Yai la kike X = Mtoto wa Kiume
Mbegu ya kiume X + Yai la kike X = Mtoto wa Kike
Njia za Kupata Mtoto Wa Jinsia Uipendayo
Mbegu za
kiume zenye vinasaba vya Y huwa ni nyepesi, husafiri kwa haraka katika
via vya uzazi vya mwanamke na huishi kwa muda mfupi ukilinganisha na
mbegu zenye vinasaba X. Zenye vinasaba X huwa nzito zaidi, huenda
polepole na huishi kwa muda mrefu zaidi.
Hivyo,
kinadharia ili kupata mtoto wa kiume unaweza ukakutana na mwenza wako
siku ambayo yai la uzazi linatoka (ovulation), kwani mbegu Y zitasafiri
haraka na kukutana na yai ili kulirutubisha kuwa mtoto wa kiume.
Mtoto wa
kike, kutana na mwenzi wako siku 2 au 3 kabla ya yai kutoka. Kwa sababu
mbegu Y huishi kwa muda mfupi, nyingi zitakufa wakati zinasubiri yai
huku mbegu X zikiwa kwa wingi mpaka siku yai linatoka. Yai likitoka
mbegu X zitakuwa kwa wingi kuungana na yai kutunga mtoto wa kike.
Kiuhalisia, sio rahisi kufanikisha hilo.
Njia Nyingine
Kuna njia
mbalimbali zinazosemekana zinaongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kiume
au kike. Njia hizi inajumuisha kula vyakula vya aina fulani, mikao
maalumu ya kimapenzi, kuweka vitu sehemu za siri na nyingine nyingi bado
haziwezi kutatua tatizo hili.
Mpaka sasa
na maendeleo yote ya kiteknolojia hatujaweza kupata njia ya kuwezesha
kupata jinsia ya mtoto unayoitaka. Ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu!
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment