TANGAZO 1
Tundu
Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
amesema kauli za Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ni za kibaguzi na zinavunja umoja wa kitaifa, anaandika Josephat Isango.
Aidha
Magufuli amesema “Wale wanaotangaza kufanya maandamano, watangulie wao
wenyewe na watakiona cha mtema kuni. Mimi nataka watangulie wao
wasiwatangulize watoto wa masikini,” amesema Rais Magufuli huku
akiongeza kuwa;
“Wao
wanakaa gesti (nyumba za kulala wageni) halafu wanawapa viroba watoto
wa masikini ili watangulie kuandamana, sasa mimi nataka watangulie wao
halafu waone.”
27
Julai mwaka huu, Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chadema taifa alitangaza
kuwa chama hicho kitafanya mikutano ya hadhara na maandamano nchi nzima
ili kupinga kile alichokiita udikteta wa serikali ya awamu ya tano.
Hayo
yanajiri ikiwa ni saa chache baada ya Salumu Mwalimu Naibu Naibu Katibu
Mkuu wa Chadema (Zanzibar) kusisitiza mbele ya waandishiwa habari
jijini Dar es salaam kuwa maazimio ya chama hicho yapo pale pale na
kwamba maandalizi ya msingi ya utekelezaji wake yameanza.
“Hatutarudi
nyuma, hatutatishika, wala hatutatetereka kufanya siasa ni wajibu wetu,
siyo hisani ya mtu mmoja au kikundi cha watu. Ni wajibu wetu, ni haki
yetu iliyo ndani ya sheria inayoongoza vyama vya siasa na kanuni zake,”
amesema MwalimuTANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment