TANGAZO 1
Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ni jambo la msingi sana kufuata utaratibu mzuri wa ulaji wa vyakula kwa lengo kuwa na afya bora zaidi,
Kwa kawaida mlo wa usiku ni moja ya mlo muhimu zaidi kwani
mara nyingi baada ya mlo huo wengi wetu huwa tunaelekea kulala jambo
ambalo husababisha mwili nao kutumia vizuri virutubisho vyote
vilivyoingia kupitia chakula.
Leo ninayo haya mambo muhimu ya kuzingatia kabla na baada
ya kupata mlo wako wa usiku. Epuka kuoga mara baada ya kula huweza
kuingiliana na mfumo wa umeng'enyaji wa chakula tumboni. unapooga mara
baada ya kula husababisha kupungua kwa hali joto mwilini.
Kunywa maji ya uvuguvugu.
Kunywa glasi moja ya maji ya uvuguvugu dakika thelathini kabla ya kupata mlo wa usiku, hii itakusaidia sana kurekebisha mfumo wako wa umeng'enyaji wa chakula tumboni.
Pia inashauriwa mara baada ya kula usinywe maji hadi ipite
angalau nusu saa ndio utaweza kunywa maji yako ya kunywa, hii husaidia
mwili kuvyonza virutubisho vizuri mara vinapokuwa vimeingia mwilini
tayari kupitia chakula ulichokula.Kunywa glasi moja ya maji ya uvuguvugu dakika thelathini kabla ya kupata mlo wa usiku, hii itakusaidia sana kurekebisha mfumo wako wa umeng'enyaji wa chakula tumboni.
Kwa
kawaida inashauriwa kusubiri dakika 30 hadi 45 mara baada ya kula ndio
uoge, lakini ukiona utaratibu huo unakushinda basi unaweza kuoga kwanza
kabla ya kwenda kula.
Usilale haraka
Kwa
kawaida wengi wetu huwa tuna utaratibu wa kulala mara tu baada ya kula,
hali hupelekea kuathiri umeng'enyaji wa chakula hivyo ni vyema kuepuka
kulala mara baada ya kula na badala yake inatakiwa usubiri angalau saa 2
zipite ndio uweze kupanda kitandani kulala.
Unachopaswa
kufanya mara baada ya kula unaweza ukafanya maandalizi ya kazi zako za
kesho au kuzungumza na familia ili tu kuepuka kupanda kitandani mara
baada ya kula.
Epuka kufanya mazoezi mazito
Mara
baada ya kula usiku jitahidi uepuke kufanya shughuli za kutumia nguvu
sana kwani kumbuka wakati huo mwili unakuwa upo katika harakati za
umeng'enyaji wa chakula na endapo ikatokea utafanya shughuli nzito mara
baada ya kula usiku basi huenda ukakumbwa na maumivu ya tumbo pia.
Kusafisha meno.
Unapomaliza
kula na kabla ya kuelekea kulala hakikisha unasafishwa kinywa chako kwa
kupiga mswaki, lakini zingatia kwamba unapaswa kupiga mswaki mara baada
ya dakika thelathini.
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment