TANGAZO 1
Diamond na Cassper Nyovest rapper kutoka
Afrika Kusini, wameunganishwa kwenye collabo ya pamoja kwenye msimu
mpya wa Coke Studio version ya Afrika Kusini.
Jumanne hii Wawili hao wameingia
studio jijini Johannesburg kurekodi wimbo wao. Hii itakuwa ni mara ya
tatu Diamond anashiriki kwenye kipindi hicho baada ya kushiriki mara
mbili kwenye Coke Studio Africa inayofanyika jijini Nairobi, Kenya.
Akipost picha akiwa na Cassper, Diamond
ameandika: Creating an Anthem in Coke Studio South Africa with my Hommie
@casspernyovest now! #CokeStudioZa.”
Hasimu wa Cassper, AKA naye yupo kwenye msimu huu ambapo collabo yake amefanya na msanii wa Nigeria, Patoraking.
TAZAMA PICHA ZAIDI
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment