TANGAZO 1
HONGERA Mh.MWIGULU NCHEMBA KWA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WACHINA
WALIONYANYASA VIJANA WETU KWENYE MGODI WA DHAHABU HUKO NYAMAHUNA-GEITA,
Taarifa ilifika mezani kwako na umechukua hatua!Tunaombba adhabu itakayo tolewa iwe fundisho kwa wengine!!
(Taarifa fupi ya Mwigulu Nchemba baada ya kufika eneo la tukio)
Nimefika Mgodi wa Nyamhuna unaodaiwa kuwa raia wa china ambao ni
sehemu ya wamiliki wa mgodi huo wakishirikiana na watanzania walimtesa
kinyama na kumjeruhi mmoja wa mtanzania mwenzetu aliyekuwa akifanya kazi
katika mgodi huo uliopo Katoro-Geita.
Imenilazimu kufika gereza la Geita kukutana na kijana huyo ambae yupo hai tofauti na taarifa za awali kuwa alifariki.Baada ya kujiridhisha kuanzia mavazi,majeraha,picha,sura na umbo lake kuwa ndiye kijana aliyeteswa vibaya na picha zake kusambaa mitandaoni na vyombo mbalimbali vya habari,niliamua kwenda naye hadi mgodini lilipofanyika tukio hilo la kinyama,aliwatambua wahusika ambao NI KWELI WALIFANYA TUKIO HILO LA KINYAMA NA LISILOKUBALIKI HAPA NCHINI.
Hivyo walioshiriki tukio hilo tumeshawashikilia kupitia jeshi la polisi tayari kwa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Nalaani tukio hilo vikali sana,serikali hii ipo tayari kushirikiana na kila mmoja rai mwema kutoa taarifa popote pale za matukio au viashiria viovu na vinavyohatarisha usalama wetu.
“Usalama wetu,jukumu letu sote”
TANGAZO 2Imenilazimu kufika gereza la Geita kukutana na kijana huyo ambae yupo hai tofauti na taarifa za awali kuwa alifariki.Baada ya kujiridhisha kuanzia mavazi,majeraha,picha,sura na umbo lake kuwa ndiye kijana aliyeteswa vibaya na picha zake kusambaa mitandaoni na vyombo mbalimbali vya habari,niliamua kwenda naye hadi mgodini lilipofanyika tukio hilo la kinyama,aliwatambua wahusika ambao NI KWELI WALIFANYA TUKIO HILO LA KINYAMA NA LISILOKUBALIKI HAPA NCHINI.
Hivyo walioshiriki tukio hilo tumeshawashikilia kupitia jeshi la polisi tayari kwa kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Nalaani tukio hilo vikali sana,serikali hii ipo tayari kushirikiana na kila mmoja rai mwema kutoa taarifa popote pale za matukio au viashiria viovu na vinavyohatarisha usalama wetu.
“Usalama wetu,jukumu letu sote”
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3


Post a Comment