TANGAZO 1

MKURUGENZI Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Rashid Othman
amestaafu rasmi wadhifa huo, huku akitajwa kuwa miongoni mwa viongozi
waliofanya kazi nzuri wakiongoza taasisi hiyo nyeti.
Habari za uhakika kutoka ndani ya serikali, zilizopatikana jijini Dar es
Salaam jana, zilisema kuwa Othman alistaafu rasmi wadhifa huo Agosti
19, mwaka huu akiwa ameiongoza taasisi hiyo tangu Agosti 20, 2006 ikiwa
ni takribani miaka 10.
Kiongozi huyo aliteuliwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete
kuwa Mkurugenzi Mkuu ili kuziba nafasi iliyoachwa na aliyekuwa
Mkurugenzi Mkuu wa wakati huo, Cornel Apson Mwang’onda.
Aliapishwa Ikulu Dar es Salaam Agosti 21, 2006. Kabla ya uteuzi wake,
Othman alikuwa Mkuu wa Utawala na Utumishi wa Idara hiyo ya Usalama wa
Taifa na kufanya kazi nzuri, iliyochangia kumwezesha kuteuliwa kuwa
Mkurugenzi Mkuu.
Awali, Othman alitakiwa kustaafu mwaka 2013 kwa mujibu wa sheria, lakini
aliendelea kuongezewa mkataba wa mwaka mmoja mmoja hadi alipokubaliwa
kustaafu rasmi Ijumaa iliyopita.
TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
Post a Comment