Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

ABOUT LOVE: UTATA ! MKE WANGU ANANISHAURI NIMUOE RAFIKI YAKE! USHAURI WAKO PLEASE

TANGAZO 1
Takribani miaka kumi na mbili sasa katika ndoa yetu na tumefanikiwa kupata watoto wawili wote wa kiume. Mke wangu ana rafiki yake wa muda mrefu sana (mchepuko wangu) tangu wakiishi udogoni na kusoma wote hukoshinyanga ingawa wametofautiana miaka kama minne hivi (huyo rafiki ndio mkubwa kwa wife ila mdogo kwangu).

Siku ya jumatatu hii iliyopita baada ya kupata chakula cha jioni na watoto kwenda kulala ndipo akanijia na hiyo"surprise" ambayo sitasahau maishani mwangu. Aliniambia kama ninaweza nimuoe tu huyo rafiki yake maana ana miaka takriban 34 sasa, na ni"bila bila"(kakosa mume).Kwa kuwa sisi watu wa mkoa wa Mara kimila tunaruhusiwa ata wake wanne, hivyo kumuweka ndani itakuwa nimempunguzia aibu ya kukosa mume huyo mwanamke waliyeshibana sana, sasa machale yamenicheza, naona kama wife ameshtukia "issue ya kuchepuka" sasa kanitega aniingize kingi.Najiuliza sijui ni mpe jibu gani wife aisee, naombeni busara wakuu wenzangu maanake naona kama "nimekamatika vile"TANGAZO 2
KUTIZAMA PICHA ZAKE NA VIDEO ZAKE ALIZO PIGA AKIWA UCHI NI RAHISI BONYZA HPA CH1NI
TANGAZO 3
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SUKARI GURU
Back To Top